KIPENDACHO MOYO NI DAWA

20140402_124003-1 Elsie Shayne Chad n Bryan-1 memeKipendacho wangu moyo, kwangu hicho ndicho dawa,
Kipendacho bila choyo, penzi lanifanya sawa,
Anipa furaha nayo, wa mtima ndiye huyo,
Ninakupenda kimwana, kamwe kwako sitotoka.

Wanijaza tabasamu, kunipa furaha ghaya,
Kuyatia yangu utamu, kwako penzi sina haya,
Kila siku nakuhamu, nipunguzie ubaya,
Ninakupenda kimwana,
kamwe kwako sitotoka.

Michezo na maongezi, yenye ari twayafanya,
Wangu tamu usingizi, waufanya we Taninya,
Penzi lako ni mzizi, kazi yake laimanya,
Ninakupenda kimwana, kamwe kwako sitotoka.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s